Mto Dure (Pader)

ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Dure (Pader) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika wilaya ya Pader, kaskazini mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads