Mto Gongola
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Gongola ni mto unaopatikana nchini Nigeria. Chanzo chake Huanzia kwenye mteremko wa Jos na kuangukia kwenye bonde la Gongola. Mkondo wake ni mita za ujazo 1420. Mto huu unapita katika miji ya Numan na Gombe.[1]

Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads