Mto Kihanzi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Kihanzi (pia Kihansi) ni kati ya mito ya mkoa wa Morogoro (Tanzania Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi.
Maporomoko ya maji ya mto Kihansi yalikuwa makazi ya chura wa Kihansi aliyetoweka huko tangu kujengwa kwa lambo la Kihansi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads