Mto Koitobos
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Koitobos unapatikana katika kaunti ya Uasin Gishu, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).
Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads