Kaunti ya Uasin Gishu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaunti ya Uasin Gishu
Remove ads

Kaunti ya Uasin Gishu ni mojawapo za Kaunti 47 za Kenya iliyoko katika eneo la magharibi mwa nchi katika eneo la kaskazini mwa Bonde la Ufa. Inapakana na Kaunti ya Trans-Nzoia upande wa kaskazini, kaunti ya Elgeyo-Marakwet upande wa mashariki, kaunti ya Nandi upande wa kusini na magharibi, na Kakamega upande wa kusini magharibi. Wakati wa sensa uliofanyika mwaka 2019 ,idadi ya wakaazi ilikuwa 1,163,186 katika eneo la km2 3,392.2, msongamano ukiwa hivyo wa watu 343 kwa kilometa mraba[1]. Mji mkubwa na Makao makuu ya kaunti ya Uasin Gishu ni Eldoret.

Thumb
Ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Uasin Gishu, Kenya.
Remove ads

Utawala

Kaunti ya Uasin Gishu imegawiwa katika maeneo bunge yafuatayo:

Remove ads

Demografia

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2]

  • Ainabkoi 138,184
  • Kapseret 198,499
  • Kesses 148,798
  • Moiben 181,338
  • Soy 229,094
  • Turbo 267,273

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads