Mto Laga Bor
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Laga Bor ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads