Mto Laga Chamu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Laga Chamu ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads