Mto Lukuga

Ni mto unaotoka katika Ziwa Tanganyika From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Lukugamap
Remove ads

5.66667°S 26.91667°E / -5.66667; 26.91667

Thumb
Mto Lukuga kutoka darajani huko Kalemie.
Thumb
Mto Lukuga ukionyeshwa kwa rangi ya buluu iliyokolea.

Mto Lukuga ni tawimto la mto Lualaba katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambalo linapokea maji kutoka Ziwa Tanganyika na kuyatiririsha kwa kilometa 320.

Unapoingia katika mto Lualaba umejaa uchafu.

Remove ads

Tanbihi

Vyanzo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads