Mto Mara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara (maana)

Mto Mara ni mto wa Kenya na Tanzania. Beseni lake ni la km2 13,504, ambazo 65% ziko Kenya na 35% Tanzania.[1]
Hatimaye unaishia katika Ziwa Viktoria upande wa Tanzania (Mkoa wa Mara).
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads