Mto Mareb
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Mareb (au Gash) unaanzia katikati ya Ethiopia, unapitia Eritrea kaskazini hadi mashariki mwa Sudan ambapo kwa kawaida unapotea katika mchanga wa jangwani usifikie mto Atbarah, tawimto la Nile.

Unachangiwa na mto Obel.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads