Mto Ndilo (Kitui)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Ndilo (Kitui) unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads