Mto Okpara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Okpara ni mto wa nchini Benin na Nigeria.

Inatokea katika Idara ya Borgou, inapita kusini na kuwa mpaka kati ya Nigeria na Benin kabla ya kuingia tena Benin na inachangia Mto Ouémé, ambao mwishowe huingia kwenye Bahari ya Atlantiki.
Vijiji kadhaa kando ya mto huu vinagombaniwa na Benin na Nigeria.[1][2].[3]
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads