Mto Perakera
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Perakera unapatikana katika kaunti ya Baringo nchini Kenya.Ni tawimto la mto molo ambao unaishia katika ziwa Baringo pia mto huu una ukubwa wa kilomita za mraba 1,207

Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads