Mto Ruguti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Ruguti unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads