Mto Semliki
mto katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Semliki (au: Semuliki) unapatikana nchini Uganda (wilaya ya Bundibugyo) ukitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Unaanza katika ziwa Edward na kuishia katika ziwa Albert.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
