Mto Ticino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Ticino
Remove ads


Mto Ticino ni wa pili nchini Italia kwa wingi wa maji na una urefu wa kilomita 248.

Thumb
Mto Ticino

Unaanzia Uswisi katika milima ya Alpi na kupita kaskazini mwa Italia (mikoa ya Piemonte na Lombardia) hadi kuingia katika mto Po.

Beseni lake huwa na eneo la km² 7,228.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ticino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads