Piemonte

From Wikipedia, the free encyclopedia

Piemonte
Remove ads

Piemonte ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kaskazini magharibi na kupakana na Ufaransa na Uswisi katika milima ya Alps.

Thumb
Piemonte,Italia
Thumb
Bendera ya Piemonte.
Thumb
Mahali pa Piemonte katika Italia.

Mji mkuu wake ni Torino, ambao ni wa nne nchini baada ya Roma, Milano na Napoli.

Tazama pia

Viungo vya nje


Maelezo zaidi Mikoa ya Italia ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Piemonte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads