Mto Uele
mto From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Uele (pia Welle) ni tawimto la mto Ubangi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Urefu wake ni km 1,210 hivi, hivyo ni mrefu kuliko mito mingine inayochangia mto Ubangi.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads