Mtofaa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Remove ads
Mtofaa au mtufaha ni mti mdogo wa familia Rosaceae. Matunda yake huitwa matofaa au matufaha (kwa Kiingereza: "apple").
Mti huo unapandwa kila mahali katika kanda za wastani au juu ya milima. Haukui vizuri katika kanda za tropiki, kwa sababu takriban aina zote za mtofaa zinahitaji halijoto za chini ili kurahisisha kuchanua na kutoa matunda.
Remove ads
Picha
- Mitofaa ichanuayo
- Matumba na maua
- Jozi la matofaa matawini
- Tofaa lililokatwa
- Mbegu
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtofaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads