Mudhihir Mohamed Mudhihir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mudhihir Mohamed Mudhihir (amezaliwa tar. 1 Januari 1950) alikuwa mbunge wa jimbo la Mchinga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Amehitimu Shahada ya Sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads