Muhammad Ibrahim Sanya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Muhammad Ibrahim Sanya (amezaliwa tar. 21 Julai 1956) ni mbunge wa jimbo la MjiMkongwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads