Umoja wa Mungu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Umoja wa Mungu ni hoja iliyotetewa na falsafa na imani ya dini mbalimbali, ya kwamba kuna Mungu mmoja tu, ambaye ni mkuu kabisa kuliko vitu vyote na ni nafsi[1][2]

Mbali na wanafalsafa kama vile wale wa Shule ya Athene (Sokrates, Plato na Aristotle), imani hiyo ilishikwa toka zamani na dini kama vile Atenism, Baha'i, Cao Dai, Cheondoism (Cheondogyo), Deism, Eckankar, Kalasinga, Rastafari, Tenrikyo, Uislamu, Ukristo, Uyahudi na Uzoroastro.[3]

Kutokana hasa na wingi wa waumini wa Ukristo na Uislamu, siku hizi zaidi ya nusu ya binadamu wote wanakiri umoja huo.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads