Mustafa Mkulo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mustafa Haidi Mkulo (26 Septemba 1946 - 3 Mei 2024) alikuwa mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania akitokea katika chama cha CCM.[1] Aliwahi kuwa waziri wa fedha.

Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads