Mwandiko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mwandiko ni maandishi ya mtu aliyoyafanya kwa kutumia mkono wake.
Aina mbalimbali za mwandiko wa lugha tofauti katika historia yote; kutoka juu kushoto kwa kufuata mshale kama wa saa: Kitabu cha Isaya, breviari, maandiko ya Voynich, Manifesto ya Chama cha Kikomunisti, Katiba ya Marekani, Ufafanuzi wa Ugiriki wa Pausania.
Kwa kuwa kila mmoja ana namna yake ya pekee ya kuandika, unatumika kutambua kama maandishi ya yake kweli[1], kuanzia sahihi.
Hata watoto pacha wanaochanga urithi uleule wa kibiolojia wanatofautiana katika mwandiko[2].
Ndiyo sababu wapo wanaoona uwezekano wa kutambua tabia au hali yake katika mwandiko wake, hasa akiandika bila kujali upendezwe kwa uzuri.
Uharibikaji wa namna ya kuandika ni pia dalili ya kuzeeka na kuugua maradhi fulanifulani[3] .
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads