My Heart Will Go On
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"My Heart Will Go On" ni wimbo unaotoka kwa filamu ya Titanic. Ilitayarishwa na James Horner na Will Jennings na kurekodiwa na Celine Dion. Ilikuwa namba 1 kote duniani, ikiwemo nchini Marekani, Uingereza na Australia. My Heart Will Go On ilitolewa nchini Australia na Ujerumani mnamo 8 Desemba 1997; na kote duniani mnamo Januari/Februari 1998.
Remove ads
Historia
James Horner alipomaliza kuandika maneno ya wimbo huu, alimchagua Celine Dion kuimba wimbo huu. Hapo awali, Dion alikataa, lakini mumewe, Rene Angelil, alimsihi akubali kuimba wimbo huu.
Mafanikio kwenye chati
"My Heart Will Go On" ni wimbo ambao ulivuma sana. Nchini Marekani, ilikuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100 na ilibaki papo hapo kwa wiki mbili. Ilibaki namba 1 kwa muda ya wiki 10 kwenye Billboard Hot 100 Airplay na pia ilikuwa namba 1 kwa muda ya wiki 2kwenye Hot 100 Singles Sales. Mwishowe, ilithibitishwa gold.
Ilikuwa namba 1 kote duniani, zikiwemo: wiki 15 nchini Uswizi, wiki 13 nchini Ufaransa na Ujerumani, wiki 11 chini Netherlands na Sweden, wiki 10 nchini Belgium, wiki 4 nchini Australia na Austria, wiki2 nchini Spain na Uingereza, na wiki 1 nchini Finland.
Nchini Ujerumani, "My Heart Will Go On" iliuza zaidi ya nakala milioni 2 na ikathibitishwa 4x platinum.[1] Imeuza zaidi ya nakala milioni moja nchini Uingereza na Ufaransa. Thibitisho nyingine ni kama: 3x platinum in Belgium (150,000), 2x platinum nchini Australia (140,000), Netherlands (150,000), Norway (40,000), Sweden (40,000), Switzerland (100,000), platinum nchini Greece (40,000) na gold nchini Austria (25,000).
Remove ads
Orodha ya wimbo
European CD single
European CD single #2
French CD single
French CD single #2
French CD single #3
Japanese CD single
UK cassette single
U.S. CD single
Australian/Brazilian/European/UK/Korean CD maxi single
|
Australian CD maxi single #2
Brazilian CD maxi single #2
European CD maxi single #2 / UK 12" single
Japanese/Korean CD maxi single
UK CD maxi single #2
|
Remove ads
Toleo rasmi
- "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
- "My Heart Will Go On" (Richie Jones love go on mix) – 4:58
- "My Heart Will Go On" (Richie Jones go on beats) – 5:10
- "My Heart Will Go On" (Riche Jones unsinkable club mix) – 10:04
- "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
- "My Heart Will Go On" (Tony Moran's anthem vocal) – 9:41
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution bonus beats) – 3:31
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution percapella) – 4:16
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution drama at the sea) – 8:54
- "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's penny whistle dub) – 3:23
- "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's unsinkable epic mix) – 9:53
- "My Heart Will Go On" (Cuca's radio edit) – 4:22
- "My Heart Will Go On" (movie dialogue) – 4:41
- "My Heart Will Go On" (soundtrack version) – 5:11
- "My Heart Will Go On" (alternate orchestra version) – 5:51
- "My Heart Will Go On" (TV track) – 3:12
- "My Heart Will Go On" (no lead vox) – 4:41
- "My Heart Will Go On" (album version) – 4:40
Remove ads
Chati
Remove ads
Tuzo
Alitanguliwa na "You Must Love Me" from Evita |
Academy Award for Best Original Song 1998 |
Akafuatiwa na "When You Believe" from The Prince of Egypt |
Alitanguliwa na "You Must Love Me" from Evita |
Golden Globe Award for Best Original Song 1998 |
Akafuatiwa na "The Prayer" from Quest for Camelot" |
Alitanguliwa na "Sunny Came Home by Shawn Colvin |
Grammy Award for Record of the Year 1999 |
Akafuatiwa na "Smooth by Santana featuring Rob Thomas |
Alitanguliwa na "Sunny Came Home by Shawn Colvin |
Grammy Award for Song of the Year 1999 |
Akafuatiwa na "Smooth by Santana featuring Rob Thomas |
Alitanguliwa na "Building a Mystery by Sarah McLachlan |
Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance 1999 |
Akafuatiwa na "I Will Remember You by Sarah McLachlan |
Alitanguliwa na "I Believe I Can Fly by R. Kelly |
Grammy Award for Best Song Written for a Motion Picture, Television or Other Visual Media 1999 |
Akafuatiwa na "Beautiful Stranger by Madonna |
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads