Mzeru Omari Nibuka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mzeru Omari Nibuka (amezaliwa tar. 10 Mei 1954) ni mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads