N'dalatando

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

N'dalatando ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola katika jimbo la Cuanza Norte.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 45,295.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads