NCCR-Mageuzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

NCCR-Mageuzi ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kilisajiliwa rasmi tarehe 29 Julai 1992 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Ukweli wa haraka National Convention for Construction and Reform - NCCR Mageuzi, Mwanzishaji ...

Chama hicho kilianzishwa kama matokeo ya juhudi za wananchi wa Tanzania kujikomboa kutokana na ubeberu ambao umejikita katika nchi hiyo tangu mwaka 1884.

Remove ads

Uongozi

  • Mwenyekiti:
  • Makamu wa Mwenyekiti Zanzibar: Haji A. Khamis
  • Katibu Mkuu: Juju M. Ndada
  • Naibu Katibu Mkuu Bara: Elizabeth M. Mhagama
  • Naibu Katubu Mkuu Zanzibar: Mussa K. Mussa
  • Mweka Hazina wa Taifa: Mike A. Karava

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads