Ubeberu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ubeberu kikawaida hutaja masuala ya kisiasa eneo la kijiografia linamilikiwa na milki au dola kama vile Dola la Osmani, Dola la Ufaransa, Dola la Urusi,[2] Dola la Uchina, au Dola la Uingereza, na kadhalika.[3] lakini pia neno linaweza kutumika kwa utawala wa kimaarifa, itikadi, maadili na utaalamu, kama himaya ya Ukristo. (tazama Ukristo)[4] au Uislamu (tazama Khalifa).

Remove ads
Ukosoaji
"Ubeberu umekuwa chini ya kimaadili na kusutwa na wakosoaji wake, na kwa hivyo istilahi hii mara nyingi hutumika kama propaganda za kimataifa kwa ajili ya uenezi wa sera za kigeni kimabavu.
Tazama pia
- Ukoloni
- Dola
- Dola la Uingereza
- Dola la Roma
- Dola la Amerika
Marejeo
Soma zaidi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads