Nadhiri za daima

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nadhiri za daima
Remove ads

Nadhiri za daima ni zile zinazowekwa hadi kufa, tofauti na nadhiri za muda ambazo mara nyingi zinawekwa kama maandalizi au jaribio kabla ya zile za daima katika mashirika ya kitawa[1][2].

Thumb
Mtawa akiwa amelala kifudifudi wakati wa kuombewa kabla hajaweka nadhiri za daima.

Kadiri ya Mkusanyo wa Sheria za Kanisa la kilatini, muda huo ni kuanzia miaka 3 hadi 6[3].

Kwa kawaida nadhiri hizo zinahusu mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads