Namba kivunge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Namba kivunge (kwa Kiingereza composite number) ni namba asilia inayopatikana kwa kuzidisha namba tasa (prime numbers).
Kwa mfano namba 9 inapatikana kwa kuzidisha 3 kwa 3. Namba 12 inapatikana kwa kuzidisha 3, 2 na 2.
Namba asilia zote zinaweza kupangwa katika makundi mawili:
Remove ads
Namba kivunge hadi 150
Namba kivunge hadi 150 ni kama zifuatazo:
4, 6, 8, 9, 10, 12, 14, 15, 16, 18, 20, 21, 22, 24, 25, 26, 27, 28, 30, 32, 33, 34, 35, 36, 38, 39, 40, 42, 44, 45, 46, 48, 49, 50, 51, 52, 54, 55, 56, 57, 58, 60, 62, 63, 64, 65, 66, 68, 69, 70, 72, 74, 75, 76, 77, 78, 80, 81, 82, 84, 85, 86, 87, 88, 90, 91, 92, 93, 94, 95, 96, 98, 99, 100, 102, 104, 105, 106, 108, 110, 111, 112, 114, 115, 116, 117, 118, 119, 120, 121, 122, 123, 124, 125, 126, 128, 129, 130, 132, 133, 134, 135, 136, 138, 140, 141, 142, 143, 144, 145, 146, 147, 148, 150.
Nyingi ni namba shufwa (tarakimu ya rangi nyeusi iliyokolea), idadi ndogo zaidi ni namba witiri. Sababu yake ni kwamba namba tasa zote ni witiri isipokuwa 2 yenyewe.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Namba kivunge kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads