Nambinzo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nambinzo ni kata ya Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 53314.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 29,757 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 25,951 [2] walioishi humo.
Eneo la Nambinzo lina wakazi wanaojishughulisha na kilimo pamoja na ufugaji na msingi mkuu wao ni kwa ajili ya chakula na si biashara.
Kahawa ndilo zao pekee la biashara kama ilivyo katika wilaya yake na kata nyingine.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads