Nargis Mohamed
Mwigizaji wa nchini Tanzania na mfanyabiashara wa urembo From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nargis Mohamed ni mrembo nchini Tanzania aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania mnamo mwaka 2003 na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu katika kinyang'anyiro hicho. Baadae mwanadada huyu alijikita katika masuala ya biashara, hasa za mambo yanayohusu urembo, kwa kutumia mitandao ya kijamii. [1]
Nargis pia anajulikana kama mwigizaji wa filamu. Moja ya filamu alizowahi kushiriki inajulikana kwa jina la Magic House.[2]
Remove ads
Viungo vya nje
- Nargis Mohamed - YouTube channel
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads