Nasaba ya Joseon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nasaba ya Joseon (pia: Chosun) ilikuwa nasaba ya Korea iliyotawala miaka 505, kuanzia mwaka 1392 hadi 1897[1][2].

Iliunga mkono Ukonfusio dhidi ya Ubuddha na Ukristo. Wafuasi wa dini hizo mbili, hasa ya pili, walidhulumiwa pengine kwa ukatili mkubwa.
Angalia pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads