Nebukadreza II

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nebukadreza II
Remove ads

Nebukadreza II (642 KK hivi – 7 Oktoba 562 KK) alikuwa mfalme bora wa Babeli katika karne ya 6 KK.

Thumb
Tofali la kuchoma la Babuloni lenye jina na vyeo vya Nebukadreza.

Alitawala sehemu kubwa ya Mashariki ya kati kuanzia Agosti 605 KK mpaka tarehe 7 Oktoba 562 KK.

Ni maarufu hasa kwa sababu aliwahi kuuvunja mji wa Yerusalemu mwaka 587 KK na kuwapeleka sehemu kubwa ya Wayahudi katika uhamisho wa Babeli.

Ndiye aliyejenga bustani za kupendeza katika enzi hizo zinazojulikana kama bustani za kuning'inia za Babeli, ambazo ni moja ya maajabu saba ya dunia.

Remove ads

Marejeo

Remove ads

Viungo vya nje

  • "Inscriptions by Babylonian kings". Open Richly Annotated Cuneiform Corpus. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  • Lendering, Jona (1995). "Cyaxares". Livius. Iliwekwa mnamo 23 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  • Mark, Joshua J. (2018). "Nebuchadnezzar II". Ancient History Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 17 Desemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  • Saggs, Henry W. F. (1998). "Nebuchadnezzar II". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nebukadreza II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads