Jeshi la majini

tawi la kijeshi lililohusika katika vita vya majini From Wikipedia, the free encyclopedia

Jeshi la majini
Remove ads

Jeshi la majini au Jeshi la wanamaji ni kitengo cha pekee cha jeshi la mataifa mengi kilicho tayari kushindana na maadui kwenye maji hasa baharini.

Thumb
Kundi la manowari la majeshi ya wanamaji ya Marekani, Ufaransa, Italia, uingereza na Uholanzi
Thumb
Manowari Pyotr Velikiy ya Urusi
Thumb
Nyambizi Walrus ya Uholanzi
Thumb
Manowari ya kutega mabomu ya maji HMS Älvborg ya Uswidi
Thumb
Hovercraft ya Japani
Thumb
Ndege ya kijeshi kwenye manowari ndege ya Brazil

Linajumlisha askari, manowari, meli za kusaidia manowari, bandari ya pekee na vituo vingine na pia eropleni za vita ya bahari.

Remove ads

Historia

Ni hasa nchi zenye pwani ya bahari ambako kuna jeshi la pekee la wanamaji. Chanzo katika historia yalikuwa majeshi ya wanamaji ya Karthago, Ugiriki ya Kale na Dola la Roma.

Tangu karne ya 19 Uingereza ilikuwa na jeshi la wanamaji kubwa duniani, na katika karne ya 20 nafasi yake ilichukuliwa na wanamaji wa Marekani hasa, lakini pia wa Urusi.

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeshi la majini Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads