Ngiri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ngiri
Remove ads

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Ngiri, gwasi au mbango (Kiing. warthog) ni wanyama wa jenasi Phacochoerus katika familia Suidae. Hawa ni aina za nguruwe-mwitu wenye sugu kubwa kichwani, madume hasa (sababu ya jina lao kwa Kiingereza). Wana pamba ndefu, zile za dume ndefu kuliko zile za jike. Hula manyasi, mizizi, beri na matunda mengine, gamba la miti, nyoga na hata mayai, mizoga na pengine wadudu na wanyama wadogo. Wakila hupiga magoti ya mbele na wakitoroka kitisho huweka mkia juu wima.

Remove ads

Spishi

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngiri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads