Nickson Kibabage

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nickson Clement Kibabage (alizaliwa 12 Oktoba 2000) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya mlinzi wa kushoto kwenye klabu ya Young Africans S.C na Timu ya Taifa ya Tanzania.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads