Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Soka From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.
Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium uliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Adel Amrouche, mwenye asili ya Algeria.
Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.
Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.
Remove ads
Historia
Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri. Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.
Remove ads
Benchi La Ufundi
Kocha Mkuu | ![]() |
Kocha Msaidizi | ![]() |
Kocha Msaidizi | ![]() |
Kocha wa Golikipa | ![]() |
Kocha wa kujenga mwili | ![]() |
Mtaalamu wa michezo | ![]() |
Mganga mkuu | ![]() |
Meneja wa timu | ![]() |
Mataji
- CECAFA Cup :
- Mshini mara 3 (1974, 1994, 2010)
- Nafasi ya pili mara 5 (1973, 1980, 1981, 1992, 2002)
Rekodi ya Ushindani
Rekodi ya kombe la dunia
Rekodi ya AFCON
Rekodi ya mataifa ya Afrika
Michezo ya Afrika
- Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
Tazama pia: Tanzania national under-23 football team
Remove ads
Matokeo ya hivi karibuni na ratiba
Ushindi Suluhu Kupoteza
2018
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content. Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content. Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content. Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
2019
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
{{footballbox collapsible
|round = [[Kirafiki]
|date = 16 Juni 2019
|time = 20:00 CAT
|team1 = Tanzania
|score = 1–1
|report = https://int.soccerway.com/matches/2019/06/16/world/friendlies/tanzania/zimbabwe/3028720/
|team2 =
Zimbabwe
|goals1 =
|goals2 =
|stadium = El Sekka El Hadid Stadium
|location = Cairo, Misri
|attendance =
|referee =
|result = D
}}
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Football box collapsible".Page Kigezo:Football box collapsible/styles.css has no content.
Remove ads
Wachezaji
Kikosi cha sasa
Wachezaji 27 walichakuliwa kuiwakilisha Tanzania katika mchezo wa kufuzu mashindano ya AFCON dhidi ya Ethiopia na Guinea tarehe 4 na 10 Septemba 2024.[1]
Michezo na magoli yamewekwa mpaka tarehe 10 Septemba 2024 baada ya mchezo dhidi ya Guinea.
Remove ads
Makocha
Bert Trautmann (1975)
Geoff Hudson (1977–1979)
Slawomir Wolk (1979–1980) [2]
Mahammed Msomali (1980–1981)
Rudi Gutendorf (1981)
Joseph Bendera (1981–1985)[3]
Paul West (1985–1989)[4]
Charles Boniface Mkwasa (1989–1992)
Kayuni Dunday (1993)[5]
Clóvis de Oliveira (1995–1997)
Badru Hafidh (1998)
Sylersaid Mziray (1998–1999)[6]
Burkhard Pape (2000–02)
James Siang'a (2002)
Mshindo Msolla (2002–03)
Badru Hafidh (2003–06)
Júlio César Leal (2006)
Márcio Máximo (2006–10)
Jan Poulsen (2010–12)
Kim Poulsen (2012–14)
Salum Madadi (2014, Msimamizi wa timu)
Mart Nooij (2014–2015)
Charles Boniface Mkwasa (2015–2017)
Salum Mayanga (2017–2018)
Emmanuel Amunike (2018–2019) [7][circular reference]
Etienne Ndayiragije (2019 - 2021) [8]
Kim Poulsen (2021–2022)
Honour Janza (2022)
Dean Alty (2022)
Kim Poulsen (2022–2023)
Adel Amrouche (2023–2024)
Hemed Morocco (2024–)
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads