Nil Sorsky

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nil Sorsky
Remove ads

Nil Sorsky (takriban 1433 1508) alikuwa mmonaki kutoka nchi ya Urusi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nikolay Maykov.

Thumb
Picha takatifu ya Nil Sorsky.

Aliandika vitabu vya maisha ya kiroho.

Ametambuliwa kuwa mtakatifu ndani ya Kanisa la Kiorthodoksi, hasa kule Urusi.

Sikukuu yake ni tarehe 7 Mei.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads