Njama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Njama (kwa Kiingereza: conspiracy, plot, ploy, scheme[1]) ni mpango wa siri unaoandaliwa na mtu au watu kwa lengo la kufanya hila au ubaya kwa mwingine au wengine, kwa mfano uuaji au uhaini[2][3]. Mara nyingi kufanya njama ni kosa la jinai[4].
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads