Northern Territory
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Northern Territory ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 244,200 (2016). Mji wake mkuu ni Darwin.

Tazama pia
- Orodha ya miji ya Australia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Northern Territory kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads