Nusutufe ya kaskazini
nusu ya Dunia ambayo iko kaskazini mwa ikweta From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nusutufe ya kaskazini (pia nusudunia ya kaskazini; Kiing.: Northern Hemisphere) ni nusu ya Dunia ilioko upande wa kaskazini ya ikweta.


Tofauti na nusutufe ya kusini hii kaskazini ya Dunia ina maeneo makubwa zaidi ya nchi kavu; theluthi mbili za nchi kavu za dunia ziko hapa kaskazini. Kwa hiyo pia sehemu kubwa ya binadamu hukaa kwenye nusutufe hii, ni asilimia 90 ya watu wote wanaoishi duniani.[1]
Kati ya mabara ni yote ya Ulaya, Asia na Amerika Kaskazini yaliyopo kwenye nusutufe hii.
Majira ya joto huwa ni hapa kuanzia Juni hadi Septemba, na majira baridi kuanzia Disemba hadi Machi.
Remove ads
Tazama pia
- Nusutufe ya kusini
- Ikweta
- Tropiki ya Saratani
- Tropiki ya Kaprikoni
- Duara la Aktiki
- Duara la Antaktika
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads