Nyanda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nyanda Janelle Thorbourne (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Nyanda) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kingston, Jamaika. Nyanda ni mwanachama wa kundi la R&B/reggae Brick & Lace ambao albamu yao ya kwanza, Love Is Wicked ilitolewa kupitia studio ya Geffen mwaka 2007 na ilijumuisha wimbo maarufu Love Is Wicked.[1][2][3]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads