Nyuklia
ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nyuklia ni neno ambalo linatumiwa katika lugha ya sayansi.

Asili yake ni Kilatini "nucleus" inayomaanisha "kiini". Inatumiwa hasa kama tafsiri ya Kiingereza "nuclear". Kwa Kiswahili neno hili linatumiwa hasa katika fani za fizikia kwa kutaja mambo yanayohusu kiini cha atomu, na pia biolojia kwa mambo yanayohusu kiini cha seli.
Nyuklia inaweza kutaja:
Fizikia
- Uhandisi wa nyuklia
- Fizikia ya nyuklia
- Nguvu ya nyuklia
- Muitikio wa nyuklia
- Silaha za nyuklia
- Dawa za nyuklia
- Tiba ya mionzi
Hisabati
- Nafasi ya nyuklia
- Mfanyakazi ya nyuklia
- Mshikamano wa nyuklia
- Nyuklia C*-algebra
Kemia
- DNA ya nyuklia
Jamii
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads