Familia nyuklia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Familia nyuklia (kwa Kiingereza nuclear family, elementary family au conjugal family[1][2]) ni familia iliyoundwa na wazazi wawili na watoto wao[3].

Ni tofauti na familia pana, inayohusisha ndugu wengi wa wazazi, na aina nyingine za familia[4].
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads