Ob
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ob (kwa Kirusi: Обь) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni km 3650. Unapita katika mikoa ya Altai Krai, Novosibirsk Oblast, Tomsk Oblast, Mkoa Huru wa Hanty-Mansi na Mkoa Huru wa Yamalo-Nenets.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ob kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads