Odoo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Odoo ni programu yenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama vile biashara ya mtandao, malipo, akaunti, bohari, hesabu ya biadhaa, tovuti, n.k. Programu hii ina matoleo mawili, Community ambayo ni bure, na Enterprise ambayo inauzwa.
Jamii
Mwaka 2013, shirika lisilo la kiserikali Odoo Community Association [1] lilianzishwa ili kuimarisha maendeleo na matumizi ya programu hii.
Vitabu
Vitabu kadhaa vimeandikwa kuhusu Odoo.[2] some covering specific areas such as accounting[3] or development.[4]
Historia
Mwanzilishi na mkurugenzi wa Odoo ni Fabien Pinckaers ambaye mwaka 2005 alitengeneza programu yake ya kwanza TinyERP. Miaka mitatu baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa OpenERP.
Historia ya matoleo
Toleo la zamani, hakuna msaada wa kampuni bali msaada wa jamii ya watumiaji tu Toleo imara[5] still supported Toleo la sasa Toleo la mbeleni
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads