Onyeka Onwenu

Mwigizaji, mwanamuziki na mwanasiasa wa Nijeria From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Onyeka Onwenu (31 Januari 1952 - 30 Julai 2024[1]) alikuwa mwimbaji, mwandishi wa muziki, pia mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu na wa masuala ya kijamii, mwandishi wa habari, mwanasiasa na jaji nchini Nigeria[2]. Alikuwa mwenyekiti wa baraza la sanaa na utamaduni katika jimbo la Imo.[3][4]

Mwaka 2013 aliteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa baraza la National Centre for Women Development. [5]

Remove ads

Maisha ya awali

Onwenu alikulia katika mji mdogo unaoitwa Arondizuogu, Ideato North, Imo State, na alilelewa Port Harcourt. Ni mtoto mdogo kabisa wa kike wa mwanasiasa na mwanaharakati wa masuala ya elimu D.K. Onwenu ambaye alifariki alipokuwa na umri wa miaka minne tu,alifariki kutokana na ajali ya gari jumaa moja baada ya kuteuliwa kama waziri wa elimu,[6][7][8] amemuacha mama mjane mwenye matumaini ya kuwalea watoto watano mwenyewe baada ya familia ya marehemu kukataa mjane huyo kurithi mali za marehemu [9]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads