Paa (maana)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paa ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Paa ni sehemu ya juu ya nyumba ambayo inatumika kuziba eneo la ndani lisionekane kutoka juu na pia kuzuia jua na mvua visiingie ndani.
- Paa (Mnyama) ni aina ya mnyamapori anayefanana na swara na ana pembe ndefu.
- Kupaa ni tendo la kuruka na kuelea angani kama ndege.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads